Kikundi cha vijana zaidi ya 15 mkoani Kilimanjaro wanatumia baiskeli kusafisha mazingira mara moja kila mwezi, vijana hao wanaotambulika kama one bike huendesha baskeli kilomita kumi kila mwezi wakiokota takataka zote za plastiki lengo lao ikiwa ni kuyatunza mazingira yanayo uzunguka mlima Kilimanjaro
Walipoanza shughuli hii miezi kumi iliyopita jamii aliwaona kama wendawazimu