Saturday, September 21, 2019
Home Tags Nje

Tag: nje

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani aahidi kuisaidia Sudan

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ameahidi leo kukiunga mkono kipindi cha mpito cha kuingia kwenye demokrasia akisema katika kipindi...

BREAKING: Simba SC watupwa nje michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yaungana...

Klabu ya Simba kutoka Tanzania imetolewa kwenye michuano ya Klabu bingwa barani Afrika kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya UD Songo...

Real Madrid bado zasugua na Barcelona kwa Neymar, Sanchez mguu ndani...

 Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali ya mchezaji huyo kujeruhiwa...

Mzozo wa Kashmir wawakutanisha mezani mawaziri wa mambo ya nchi za...

Wanadiplomasia wa India na China wamekutana mjini Beijing kuzungumzia mzozo unaozidi makali, baada ya uamuzi wa serikali ya mjini New Delhi wa kubatilisha...

Saudi Arabia: Wanawake sasa ruksa kusafiri nje ya nchi, kuajiriwa bila...

Wanawake nchini Saudi Arabia sasa wanaweza kusafiri nje ya nchi bila kusindikizwa na wanaume, limesema agizo la ufalme.Chini ya sheria mpya iliyotangazwa siku...

Watafiti wamebaini kuwa aina ya binadamu wa kwanza anayefanana na binadamu...

Watafiti wamebaini kuwa aina ya binadamu wa kwanza anayefanana na binadamu aliyepo wakati huu alitoka nje ya Afrika. Fuvu lillilofufuliwa nchini Ugiriki limegunduliwa...

MOST POPULAR

HOT NEWS