Sababu za kuvunjika kwa ndoa ya Sister Fey na mume wake zawekwa wazi, Holystar afunguka “Alisababisha nikabadili dini, najuta” (+ Video)

0
191


Ndoa iliyodumu kwa zaidi ya miezi mitano ambayo ilikuwa na vitimbwi vingi, kati ya wasanii wawili wa BOngo Fleva Sister Fey pamoja na Holystar mwisho wa siku imevunjika.

Akifunguka katika mahojiano aliyofanya na Bongo5, aliyekuwa na mume wake na Sister Fey ambaye ni Holystar amesema kuwa:- Sister Fey alianza kubadilika kwanza na yeye hataki kupelekeshwa”

Sehemu ya 1 ya mahojiano

Sehemu ya 2 ya mahojiano

By Ally Juma.Source link