R Kelly kukamatwa muda wowote baada ya upelelezi wa kashfa ya ngono kukamilika

0
123


Mkali wa muziki wa RnB kutoka Marekani, R Kelly anategemewa kukamatwa muda wowote sasa baada ya wapelelezi kupata mkanda wa ngono unaosadikika kumuonyesha staa huyu akifanya matendo ya ngono na binti mwenye umri wa miaka 14. 

Mwanasheria Michael Avenatti ameiamba CNN kuwa ameuona mkanda huo, unamuonyesha R Kelly akiwa na binti ambaye mwili wake unaonekana ana miaka 14.

Avenatti anamwakilisha mvujishaji wa mkanda huo ambaye anadai kumfahamu R Kelly na Binti huyo, upelelezi unafanywa na polisi wa mjini Chicago.

Mkanda huo una muda wa jumla ya dakika 42 na sekunde 45, walianza kufanya ngono chumbani na kuhamia sebuleni, binti huyo anamuita R Kelly ‘Daddy’ kwenye video hio.

CNN Wamethibitisha uwepo wa video hio, Avenatti anasema hii sio video iliyotumika kwenye kesi ya R Kelly mwaka 2008Source link