Ethiopia Airlines: Msiba mara mbili kwa familia ya Abdulghani nchini Kenya

0
83


Ndege ya Ethiopia ilioanguka siku ya Jumapili ilmekuwa ni msiba mara mbili kwa familia hii nchini Kenya. Mohamed Ibrahim Abdulghani, kutoka Kibra Nairobi, alikuwa ndani ya ndege hiyo . Alikuwa ameomba muda wa mapumziko kazini Saudi Arabia kuja kumliwaza mkewe aliyefiliwa na kaka yake wiki iliyopita.Source link