Danzak awashangza mashabiki wake kwa kufanya tukio hili “Namshukru Aunt Ezekiel kwa kuniruhusu nifanyie kwake” – Video

0
4


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva DANZAK anayeishi Oman ambaye alitangaza kuacha kazi yake ya urubani na kuingia kwenye muziki wa Bongo Fleva usiku wa jana amefanya tukio la aina yake la kukutana na mashabiki wake ambao walipost video Instagram wakicheza wimbo wake wa NIDOKOE aliomshirikisha Nandy.

Danzak aliongea haya:-

By Ally Juma.Source link